Mwamko wa watu kuanza tena kuangalia filamu katika majumba ya Sinema umeonekana kurudi tena katika miji mikubwa nchini Tanzania, baada ya kuzorota kutokana na kupanuka kwa teknolojia za kisasa za ...
Majumba yaliyoko pwani mwa Tanzania, kisiwa cha Zanzibar yanaangazia usanifu wa ujenzi wa waswahili. Baada ya miaka mingi ya kutelekezwa , majumba mengi yameporomoka. Kwa sasa, kundi dogo la mafundi ...