Maelezo ya picha, Marlène-Kany Kouassi ni mmoja wa washindi wawili pekee wa taji la Miss Ivory Coast katika kipindi cha zaidi ya miongo sita waliovaa taji lao juu ya nywele zao za asili.
Waziri wa fedha Tanzania' ametangaza kodi ya 25% kwa uingizaji wa nywele zote bandia maarufu mawigi na 10% kwa zinazotengenezwa nchini katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi. Waziri Philip Mpango ...
Maeneo ya ususi ni mojawapo ya maeneo yanayoshauriwa kuchukua tahadhari zaidi kuepusha usambaaji w avirusi vya corona. Vilevile wanaoyavalia mawigi pia wanashauriwa kuchukua tahadhari zaidi kuhusiana ...
Ungechagua mtindo gani? Kuvaa mawigi au ususi wa nywele za asili? Ungana naye Saumu Mwasimba katika makala ya Utamaduni na Sanaa akiangalia namna watu walivyosahahu ususi wa nywele za asili.